Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Nadhani huko waliko wanaugulia maumivu ya viboko mlivyowachapa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani huko waliko wanaugulia maumivu ya viboko mlivyowachapa ?
Angalia sasa unavyoumbuka. Yaani baada ya Kuona GENTAMYCINE huwa napatia Tabiri zangu kwa 99% nawe umekuja ya yako iliyokosewa 100%.Achaneni na Simba jana wamecheza na team Dhaifu. Sisi leo tunamchakaza Namungo macho makavu kabisa. Miundo mbinu imeshafanyika analala kwa Bao 3-0 mapema tu.
Namungo hamna kitu hapa. Hawa tunawamudu sana. Tunawagonga tatu na point zetu 3 tunajishindilia kileleni. Mwaka huu Kombe letu. Piga ua garagaza, ponda ponda...saga kabisa choma moto. Ubingwa ni wa Yanga. Tunacheza ndani na nje ya Uwanja.
Daima mbele....nyuma mwiko.
Hongera sana.utabiri wangu ni suluhu
Angalia sasa unavyoumbuka. Yaani baada ya Kuona GENTAMYCINE huwa napatia Tabiri zangu kwa 99% nawe umekuja ya yako iliyokosewa 100%.
thumbz upHongera sana
Roho mbaya tuu, Simba nyiee😏😏bora tuanze mbio pamoja
Mkuu umemaloza kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kauli lazima waipeleka shirikishoHuo mwiko mlioupachika huko nyuma, msimu huu tunauchomoa![emoji23]
Natabiri tena;Roho mbaya tuu, Simba nyiee😏😏
Aah wapi hivi unatuchukulia poa eeh, subiri utaona mkuu Azam tunampiga mapema sana.natabiri tena;
mechi ya Yanga vs Azam matokeo ni suluhu au azam anaibuka kwa ushindi mwembamba 1 bila
tar. 25 ni kesho kutwa J5, tutakutana hapa kuona utabiri wangu ni wa uongo au laAah wapi hivi unatuchukulia poa eeh, subiri utaona mkuu Azam tunampiga mapema sana.
Sawa na ikiwezekana tuweke dau kabisa, 10,000 😀tar. 25 ni kesho kutwa J5, tutakutana hapa kuona utabiri wangu ni wa uongo au la
mimi nko tayari kiweka dau na kama ubashiri wangu utakuwa tofauti basi ntakutumia hiyo pesa kupitia no. yako ya simu unayotumia.Sawa na ikiwezekana tuweke dau kabisa, 10,000 😀
Sawa sawa mkuu, ila yangu mimi sijui kama ntaituma aisee😀😀 ,ila let's wait and see💪mimi nko tayari kiweka dau na kama ubashiri wangu utakuwa tofauti basi ntakutumia hiyo pesa kupitia no. yako ya simu unayotumia.
na kama ubashiri wangu utakuwa wa kweli utafanya hivyo hivyo na kwangu mm pia.
hivyo tumepinga.
Wewe weka dau ya ile miguu yako!Sawa sawa mkuu, ila yangu mimi sijui kama ntaituma aisee[emoji3][emoji3] ,ila let's wait and see[emoji123]
Miguu gani mbona kama sikuelewi vile😬Wewe weka dau ya ile miguu yako!