Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mmewahonga?Achaneni na Simba jana wamecheza na team Dhaifu. Sisi leo tunamchakaza Namungo macho makavu kabisa. Miundo mbinu imeshafanyika analala kwa Bao 3-0 mapema tu.
Namungo hamna kitu hapa. Hawa tunawamudu sana. Tunawagonga tatu na point zetu 3 tunajishindilia kileleni. Mwaka huu Kombe letu. Piga ua garagaza, ponda ponda...saga kabisa choma moto. Ubingwa ni wa Yanga. Tunacheza ndani na nje ya Uwanja.
Daima mbele....nyuma mwiko.
Simba utawajua tuu, sisi daima mbele nyuma mwiko mkuuπdaima nyuma mbele mwiko
adui yako muombee njaa, makosa ya yanga ndo ushindi wa simbaSimba utawajua tuu, sisi daima mbele nyuma mwiko mkuuπ
Umefurahia sasa hiyo sare eeh, maana ulisema πadui yako muombee njaa, makosa ya yanga ndo ushindi wa simba
bora tuanze mbio pamojaUmefurahia sasa hiyo sare eeh, maana ulisema π
Ukisikia uchawi ndio huuAchaneni na Simba jana wamecheza na team Dhaifu. Sisi leo tunamchakaza Namungo macho makavu kabisa. Miundo mbinu imeshafanyika analala kwa Bao 3-0 mapema tu.
Namungo hamna kitu hapa. Hawa tunawamudu sana. Tunawagonga tatu na point zetu 3 tunajishindilia kileleni. Mwaka huu Kombe letu. Piga ua garagaza, ponda ponda...saga kabisa choma moto. Ubingwa ni wa Yanga. Tunacheza ndani na nje ya Uwanja.
Daima mbele....nyuma mwiko.
Huo mwiko mlioupachika huko nyuma, msimu huu tunauchomoa![emoji23]Simba utawajua tuu, sisi daima mbele nyuma mwiko mkuu[emoji3]
Heeπππ jamani mbavu zanguuHuo mwiko mlioupachika huko nyuma, msimu huu tunauchomoa![emoji23]
Hivi umewaza nini mkuu?πππHuo mwiko mlioupachika huko nyuma, msimu huu tunauchomoa![emoji23]
saaafiutabiri wangu ni suluhu