Wanayanga wenzangu. Shangilieni Tuna Bao 3-0 mpaka sasa Tumeshatengeneza Miundombinu Namungo Chali

Angalia sasa unavyoumbuka. Yaani baada ya Kuona GENTAMYCINE huwa napatia Tabiri zangu kwa 99% nawe umekuja ya yako iliyokosewa 100%.
 
Huwa unatabiria wapi? Maana sijawahi ona unachosema unatabiri.

Angalia sasa unavyoumbuka. Yaani baada ya Kuona GENTAMYCINE huwa napatia Tabiri zangu kwa 99% nawe umekuja ya yako iliyokosewa 100%.
 
Sijawahi ona Chizi kufanikiwa zaidi ya kuokota Makopo 😂😂
 
Sawa na ikiwezekana tuweke dau kabisa, 10,000 😀
mimi nko tayari kiweka dau na kama ubashiri wangu utakuwa tofauti basi ntakutumia hiyo pesa kupitia no. yako ya simu unayotumia.

na kama ubashiri wangu utakuwa wa kweli utafanya hivyo hivyo na kwangu mm pia.

hivyo tumepinga.
 
Sawa sawa mkuu, ila yangu mimi sijui kama ntaituma aisee😀😀 ,ila let's wait and see💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…