hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,772
- 15,651
Mara baada ya Yanga kutangaza jezi zake mpya za msimu huu wa 2025/2026 wameibuka baadhi ya mashabiki wa simba na kuanza kuziponda jezi za yanga na kusema ni mbaya.
Ubaya ni kwamba bila kufahamu the motive behind,baadhi ya mashabiki wa yanga nao wameungana na wale wa simba kwenye kuzisema jezi zao kuwa ni mbaya huku wengine wakienda mbali zaidi kwamba hawatanunua kabisa jezi hizo.
Naomba wanayanga wenzangu tufahamu yafuayayo;
1.Simba siku zote na wakati wote amekuwa akipambana na Yanga kwenye kila kitu na yanga vilevile kwa sababu hizi timu mbili ni hasimu.
Simba wamekuwa wakitafuta udhaifu wa Yanga hili wautumie kama silaha ya kuwamaliza Yanga ndani na nje ya uwanja.
Kwa kuwa ameshindwa kupata matokeo dhidi ya yanga kwenye mechi tano mfululizo wameamua kuwekeza nguvu kubwa kwenye mambo ya nje ya uwanja mojawapo ni kuziponda jezi za yanga hili wapate unafuu wa kisaikolojia pia kuonekana wapo juu dhidi ya yanga kwenye jezi.
2.Jezi zetu wala sio mbaya kwa kiwango wanachokisema makolo japo zinaweza kuwa na mapungufu madogo madogo lakini si kwa kiwango cha kushindwa kuvalika na mashabiki wake.
Ukitaka kuthibitisha hili hata baadhi ya makolo wamekubali baadhi ya jezi zetu mfano ni kolo cocastic.
3.Binafsi nimenunua jezi zote tatu kama sapoti kwenye timu yangu.
4.Wanayanga wenzangu jezi ni kitu cha mpito tu hivyo isiwe sababu ya kuibagaza timu yetu,dizaini ya jezi zinabadilika kutoka msimu mmoja kwenda mwingine
Msimu huu zinaweza kuwa na kasoro ndogo ndogo, msimu ujao zikatoka kali machoni mwa watu,muhimu zaidi ni ushindi na kuchukua makombe.Makombe ya timu yataongelewa milele na milele hata kwa vizazi vya miaka miambili ijayo lakini sio uzuri au ubaya wa jezi.Jezi nzuri haiwezi kuifanya timu mbovu ichukue ubingwa pia jezi mbaya haiwezi kuizuia timu nzuri kuchukua ubingwa.Mwisho wa msimu watu wataulizia makombe sio jezi nzuri au mbaya.
5.Mwisho nawaomba wanayanga wenzangu tukanunue jezi tuisapoti timu yetu isonge mbele zaidi.
Tusiingie kwenye mtego wa makolo wanaotaka tuache kofokasi na maandilizi na ubora wa timu yetu kuelekea msimu mpya tushughulike na vitu vidogo vidogo kama jezi ambavyo haviwezi kuandika historia ya timu yetu mwisho wa siku tuwe kama wao tukose makombe.