Wanayanga wenzangu tusikubali kuingia kwenye mtego wa mashabiki wa simba kuhusu jezi zetu mpya

Ndio zifanane na kile chama tulichochangia milioni mia 💯
 
Naona kolo bin mbumbumbu upo kazini kueneza propaganda za ubaya wa jezi zetu.

Ubaya wa hiyo jezi hauwezi kumzuia Pacome na Mzize kuscore dhidi yenu mbumbumbu.

Jipangeni acheni kudeal na minor issues.
Bado tuna hasira za milioni 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…