Yah! Nakubali sababu kikawaida huwezi hitimisha kitu kwa habari za kusikia tu wakati muhusika mwenyewe amekataa.Okay, on your own opinion.
Unakubali?
Yah! Nakubali sababu kikawaida huwezi hitimisha kitu kwa habari za kusikia tu wakati muhusika mwenyewe amekataa.
Siku akithibitisha kwa kauli yake nitakuwa upande wako Mtani. Ila kwa sasa. NO.
πππ Mtani we najua unaziamini hizo Media ila kwangu hapana pia.Sawa na Mwenyekiti alisema Makambo alienda kufanyiwa vipimo tu, mauzo bado mpaka wao wakae na viongozi wenu.
Media zinasema Makambo alisign mkataba wa miaka 3, vipi hapo?
πππ Mtani we najua unaziamini hizo Media ila kwangu hapana pia.
Nitaamini siku msimu mpya utakapoanza na Makambo akawa si mmoja wao katika timu ya wananchi au Yanga itakapotangaza rasmi na hapo ndio nitakuwa na hakika kwamba kweli anakwenda Horoya.
πππππ nimecheka kwa sauti. lol.Mtani kweli umekunywa maji ya bendera.
Pole sana, Makambovic ndo kashasepa.
Ni mfadhili, kocha, msemaji, mwenyekiti wa harambee na wakala wa wachezaji.
Zahera kakataa kukabidhi madaraka kwa Yanga mpya
Huyu jamaa ataondoka Yanga kwa aibu kubwa, hajui tu. Ngoja aendelee kuuza wachezaji wao.