William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Si kweli eti utawala huu unatenda haki na kufata Misingi ya kisheria ndio maana Sabaya kafungwa. La hasha.
Kuna Wabunge wapo bungeni Leo bila kuwa na chama. Na wameingia kimizengwe mizengwe. Serikali iko kimya akuna anayeshugulika na uvunjifu huo wa Katiba.
Sheria na Katiba inatambua haki ya vyama shindani kufanya mikutano ya kisiasa. Sasa utawala umeharamisha waziwazi mikutano ya nje na ndani na hakuna anayekohoa.
Kwenye Sheria za kiutumishi wa umma 2% annual salary increment ipo kisheria lkn ndani ya utawala mpya imefinywa pia.
Nachotaka kusema hapa NI kuwa nje ya uhalifu wa Sabaya Kuna Mambo hakuwa sawa na mamlaka. Na hukumu yake ikawe funzo kwa watu wote ambao wanazani bado Wana nguvu na wanaongozwa na mtu aliyetangulia mbele ya haki na kuendelea kumuheshimu na kumtukuza yeye na kuweka kiburi na kumdharau kiongozi aliyopo.
Sabaya akijua alipokosea ajisahishe akate rufaaaa. Sisi wabongo Sheria bado Sana ndio maana Mdee NI Mbunge mpaka leo