Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔
Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa kulazimisha lazima zishinde Kwa manufaa ya wanasiasa.
Ligi yetu ili iwe Bora ni lazima Simba au Yanga kuna wakati zinatakiwa ziwe zinapitia Hali wanayopitia Man U na Man City kwa Sasa😆