Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wabongo umetusahau mkuu lazima tuwe na wachache walioko juu wengine wabaki katikati hatutaki kuwa na wengi.Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔
Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa kulazimisha lazima zishinde Kwa manufaa ya wanasiasa.
Ligi yetu ili iwe Bora ni lazima Simba au Yanga kuna wakati zinatakiwa ziwe zinapitiq Hali wanayopitia Man U na Man City.
Kwaani hazijawahi kupitia??Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔
Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa kulazimisha lazima zishinde Kwa manufaa ya wanasiasa.
Ligi yetu ili iwe Bora ni lazima Simba au Yanga kuna wakati zinatakiwa ziwe zinapitia Hali wanayopitia Man U na Man City kwa Sasa
Huku hata zikipitia Hali hiyo ubingwa lazma uende kwa mmoja wapoKwaa
Kwaani hazijawahi kupitia??
Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔
Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa kulazimisha lazima zishinde Kwa manufaa ya wanasiasa.
Ligi yetu ili iwe Bora ni lazima Simba au Yanga kuna wakati zinatakiwa ziwe zinapitia Hali wanayopitia Man U na Man City kwa Sasa😆
Man City wanaigiza kupoteana ili zile kesi zao zipungue makali,ngojeni wamalizane ndio mtauona moto waoJinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔
Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa kulazimisha lazima zishinde Kwa manufaa ya wanasiasa.
Ligi yetu ili iwe Bora ni lazima Simba au Yanga kuna wakati zinatakiwa ziwe zinapitia Hali wanayopitia Man U na Man City kwa Sasa😆
wanaigizeje uwezo wao umefika mwisho huoni kipara kaanza kukondaMan City wanaigiza kupoteana ili zile kesi zao zipungue makali,ngojeni wamalizane ndio mtauona moto wao
Ligi ya Tanzania ni Takataka kabisa.Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔
Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa kulazimisha lazima zishinde Kwa manufaa ya wanasiasa.
Ligi yetu ili iwe Bora ni lazima Simba au Yanga kuna wakati zinatakiwa ziwe zinapitia Hali wanayopitia Man U na Man City kwa Sasa😆
Naunga mkono hojaUkweli lazima usemwe.
Wanaolazimisha kushinda kwa hali yoyote ni Simba sio Yanga.
Huu ni ukweli mchungu ambao lazima tuuseme.
Kabisa ukiwaambia waoneshe kivipi Yanga analazimisha matokeo hawawezi kukupa ushahidi usioacha shaka zaidi ya ushahidi wa kihisia tu.Naunga mkono hoja