GE2025 Wanayopitia walimu wakati huu baada ya kushiriki kwenye uchafuzi wa kumpitisha Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
753
Reaction score
1,699
Watumishi wa umma hasa walimu wamekuwa na hali ngumu, wananchi walijiapiza kuwa ikiwa Samia atashinda uchaguzi huku wanajua kura hazijapigwa basi watadili na hawa watumishi wa umma walioshiriki kutia mikono yao damu

Kuna mwalimu namjua binafsi kutoka Kahama, ambaye baada ya kumaliza jioni ilikuwa tabu kufika nyumbani sababu waandamanaji walikuwa wanasubiri kuangalia hawa wasimamizi waliokuwa marked ili wawakomese.

Sasa hivi walimu huko kahama hawalali nyumbani, sababu wao ndio wanahesabika kama wamesababisha haya, wamekuwa wanatumika kila miaka kuhalalisha matokeo feki na mwaka huu wamekuwa sehemu ya kuhalalisha mauaji yaliyotokea nchini na kumlitisha Samuya kuwa tena Rais.

Mwalimu huyu anasema hata iweje hatokuja kusimamia tena shughuli za uchaguzi kutokana na kashkash anazopata kwa kushiriki kwenye uchaguzu huo dhalimu.

Amefungasha kila kitu aenda kwa bibi yake ambaye yupo kijijini zaidi, atulie huko mpaka mambo yatakapopoa
 
Wakumfunga kengele hapo kahama ni mkurugenzi kwani tume ilisema wakurugenzi wa Halmashauri hawausiki ila asilimia 100 wao ndio wamechezesha michezo yote kwani wasimamizi wa hizo chaguzi wapo katika idara zilizopo chini ya wakurugenzi
 
Nafikiri hawa Walimu ni wa kuwasamehe tu, ni ugumu wa Maisha ndiyo unaosababisha waombe hiyo kazi ya kusimamia ili angalau wajikimu..

Mimi nawafahamu baadhi ya Walimu ambao ni Wapinzani wa haya yanayoendelea, lakini hawana namna, na baadhi yao ndiyo wametoa siri kuwa waliambiwa watiki karatasi za kura ili kuongeza idadi hasa kwenye vituo ambavyo Mawakala walikuwa wa Fisiem pekee..
 
Watumishi wa umma hasa walimu wamekuwa na hali ngumu, wananchi walijiapiza kuwa ikiwa Samia atashinda uchaguzi huku wanajua kura hazijapigwa basi watadili na hawa watumishi wa umma walioshiriki kutia mikono yao damu

Kuna mwalimu namjua binafsi kutoka Kahama, ambaye baada ya kumaliza jioni ilikuwa tabu kufika nyumbani sababu waandamanaji walikuwa wanasubiri kuangalia hawa wasimamizi waliokuwa marked ili wawakomese.

Sasa hivi walimu huko kahama hawalali nyumbani, sababu wao ndio wanahesabika kama wamesababisha haya, wamekuwa wanatumika kila miaka kuhalalisha matokeo feki na mwaka huu wamekuwa sehemu ya kuhalalisha mauaji yaliyotokea nchini na kumlitisha Samuya kuwa tena Rais.

Mwalimu huyu anasema hata iweje hatokuja kusimamia tena shughuli za uchaguzi kutokana na kashkash anazopata kwa kushiriki kwenye uchaguzu huo dhalimu.

Amefungasha kila kitu aenda kwa bibi yake ambaye yupo kijijini zaidi, atulie huko mpaka mambo yatakapopoa
Iko hivi adui yetu wote ni mmoja tu, ni mfumo mbovu. Kila Mwl ana machozi ya damu wala hawafurahii kutick kura fake ambazo zimetickiwa nchi nzima!
 
Masikini walimu wa watu🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Back
Top Bottom