Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Halaaaa Mama Sabrina nimewamiss wanachit chat mjue nini mapenzi tu nakuwa busy na baby sanaa mpaka anapasahau huku ,basi basi toka nimpate G nalala vizurii nimekuwa mwingi wa furaha sana na matumaini mapya ndani ya moyo wangu,hakuna kitu kizuri kama mwanaume akikupenda basi dunia utaona yako,upendo ni kitu muhimu sana , Mwanaume akikuoneshea upendo urudishe mara 10000 sio lazima akupe maghorofa au magari ya kifahari hapana hivyo vingine mtatafuta pamoja cha muhimu upendo tu,mfano mi na G wangi ni maskini tu mim na yeye lakin tunavyopendana weee kama Bilgate na Melinda tunajiona tuna kila kitu aisee upendo muhimu kabisa ,kama una mtu hana love halaf anakuambia anakupenda guna mara tatu endelea na maisha yako ,mtu hakujali ,kwenye huzuni yako hayupo na wewe ,hajali umekula nini,we jua tu uko single tu tafuta wengine
Ni hvi mwenzenu huwa naota napaa kama vile superman eeh au nanyoosha mkono halaf napaa juu ,saa zingine naots nipo kwenye movie kama za arnod au zingine ,mara nakimbizwaa mara naota napotea natokezea sehemu nyingine hivi wapenzi wa jf na nyie huwatokea hii hali ya kuota hivi,.
saa nyingine unaota unakimbizwaaa weeeeeeew halaf unapotea unatokezea kwinginee basi nikiotaga napaa nafurahiaaa nakuwa juu ya mawingu
napenda kuota ndoto nzuri nzurii tu zile mbaya sipendii kabisa
Nawatakia siku njema tu tunawapa hi