wandau: Tuiombee Simba jumapili

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam Wana jf

Kama wahenga walivyosema kuwa usiku wa deni haukawii kukucha basi ndicho kinachotokea baada ya ndugu zetu kuomba siku zisiende ili siku ya mechi isifike hatimaye muda umefika .......Sasa kesho ni horoya vs kolo wizard

Maoni yangu

Nikiwa kama mchambuzi maarufu nawaomba ndugu zangu Wana jf tuwaombee Wanasimba washinde Kwa kishindo kikubwa

Kushinda Kwa Simba ni ushindi wa Taifa .........Wanasimba mkaiheshimishe nchi



 
Mwanayanga mwenzangu acha kutuaibisha bwana,makolo wanacheza kesho
 
KWELI MASHABIKI WA UTOPOLO WOTE NI MBWA.
(1)HIVI SIMBA INACHEZA JUMAPILI?
(2)HUYO RABAT NAE YUPO KLABU BINGWA?
(3)Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anaeweza kuandika mamelods,laja,rabbat, wydadi.

(4)kajifunze kuandika kwanza.
[emoji23][emoji23] time Travel
 
Baada ya kuandika, hukusoma agalu kidogo uone madudu ulioyoandika, uliiba simu ya ndugu uliogopa anaweza kukuona(nahisi hio speed ya kuandika ilikuwa hatari)
NB:Timu dhaifu unaiombeaje ifungwe? mwanafunzi aise na uwezo darasani unamuombea afanye vizuri??? Jumamosi na si jumapili(kama ulivyoandika) Simba sc inaenda kushida ili uumie zaidi.
 
Agalau
 
Kwel Ashura cheupe alikuwa sawa kuhusu wenye akili pale UTO ni wawili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…