Salaam Wana jf
Kama wahenga walivyosema kuwa usiku wa deni haukawii kukucha basi ndicho kinachotokea baada ya ndugu zetu kuomba siku zisiende ili siku ya mechi isifike hatimaye muda umefika .......Sasa kesho ni horoya vs kolo wizard
Maoni yangu
Nikiwa kama mchambuzi maarufu nawaomba ndugu zangu Wana jf tuwaombee Wanasimba WAPIGWE kipigo heavyweight ili kuondoa aibu ya itakayokuja baadae
Sababu za kiuchambuzi kuwaombea kupigwa
_simba ni dhaifu Sasa imagine anavuka robo fainali then anakutana na mamelods, esperence, Al hilal ya ibenge, As Rabbat, wydadi Casablanca na laja Casablanca hakika taifa + league yetu itaharibika coz Simba anaweza pigwa hata 12 _0
Kwa kikosi hiki
View attachment 2555518