wandau: Tuiombee Simba jumapili

wandau: Tuiombee Simba jumapili

Salaam Wana jf

Kama wahenga walivyosema kuwa usiku wa deni haukawii kukucha basi ndicho kinachotokea baada ya ndugu zetu kuomba siku zisiende ili siku ya mechi isifike hatimaye muda umefika .......Sasa kesho ni horoya vs kolo wizard

Maoni yangu

Nikiwa kama mchambuzi maarufu nawaomba ndugu zangu Wana jf tuwaombee Wanasimba WAPIGWE kipigo heavyweight ili kuondoa aibu ya itakayokuja baadae

Sababu za kiuchambuzi kuwaombea kupigwa

_simba ni dhaifu Sasa imagine anavuka robo fainali then anakutana na mamelods, esperence, Al hilal ya ibenge, As Rabbat, wydadi Casablanca na laja Casablanca hakika taifa + league yetu itaharibika coz Simba anaweza pigwa hata 12 _0
Kwa kikosi hiki



View attachment 2555518
Dua la kuku halimpati mwewe hii ujue
 
Baada ya kuandika, hukusoma agalu kidogo uone madudu ulioyoandika, uliiba simu ya ndugu uliogopa anaweza kukuona(nahisi hio speed ya kuandika ilikuwa hatari)
NB:Timu dhaifu unaiombeaje ifungwe? mwanafunzi aise na uwezo darasani unamuombea afanye vizuri??? Jumamosi na si jumapili(kama ulivyoandika) Simba sc inaenda kushida ili uumie zaidi.
Labda mtashinda njaa
 
Back
Top Bottom