Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Sijajua. Nafikiri itakuwa kama uyoga. Ila unachagua zilizovizuli na fresh.Zinaandaliwaje hadi kuliwa?
🤣🤣🤣Kinyaa
Sasa hizo fungas ndani yake si panakuwa peusi kama mkaa na kama tope jeusi hivi ,sasa linaliwaje tena,duh
ziwe freshSasa hizo fungas ndani yake si panakuwa peusi kama mkaa na kama tope jeusi hivi ,sasa linaliwaje tena,duh