Wandugu naombeni ushauri wenu:

endelea kushika pembe. Ally akibadili jini anachukua kifaa chake. Kwanza inaònyesha familia ya binti haina tatizo na ally
 
huyo dada bado hajajua anachokitaka,ila since amekuambia umpe muda ajifikirie subiri huo muda upite then muongee.
kwa ushauri tu anza kumpunguza kwenye mawazo yako coz inaonekana SHE DOESNT KNOW WHAT SHE WANTS na kwako hayuko kihiiiiiiivyo,hakawii kumrudia ally.
 
asante kwa ushauri mzuri.
Tayari nishaanza kufanya maamuzi madogo madogo.
 

KAKA KAKA KAKA, TAFADHARI NISIKILIZE. HUNIJUI WALA SIKUJUI. UMEOMBA USHAURI NAMI NAKUPATIA.
Ukisikia unao halafu mkeo anachukuliwa na aliyekuwa boy friend wake huwa yananzia hapo. Kama angekuwa na msimamo juu yako, angeuweka wazi na huyo Ally asingepewa namba yako. Jiweke pembeni, demu haeleweki, ukipuuza ipo siku yatakukuta na utanikumbuka japo hatujuani. Sikaki kukuchosha ni hayo tu
 
<br />
<br />
acha ujinga mamuzi unayo mwenyewe
 
endelea kushika pembe. Ally akibadili jini anachukua kifaa chake. Kwanza inaònyesha familia ya binti haina tatizo na ally

Sina wasi wasi badili tabia,kikubwa na mimi tayari nishagonga muhuri,sasa hivi naangali mbele kwa mbele.
 


kakaaaaaa kakaaaa hapo kwenye blue nimepapenda sana,
ushauri mzuri sasa hivi ananiambia anamuomba mungu amuonyeshe yupi mwanaume wa kweli.
 

anasema niombe sana mungu kama nataka kuwa naye .
 


Nakupa siri moja ambayo nimakosa makubwa saana nafanya... but hata hivo kwa kukusaidia.. Sie wanawake hutumia saana mioyo yetu katika maamuzi kama hayo, (hivyo saa ingine hutuchanganya mpaka unapoteza track ni nini kimekuchanganya) ni tofauti na kama uki analyse kwa kutumia vigezo ili upate jibu; Na huyo dada jinsi ninavoona - ni kua hata yeye haelewi ni nini/nani anataka... Kama wampenda na she is worth it naamini kabisa ukigangamaa kiume - Ally hapati kitu hapo; Ukizingatia yupo Mwanza na wewe upo nae dada karibu... Hivo una Great advantage ya kumuweka sawa na abaki na wewe..
 
Kwahiyo na mimi nina advantage kwako kwa kuwa tupo wote hapa JF? if yes nianze mchakato haraka..........
 
mhh miezi mitatu sio mingi kihiiivyo sio mbaya kama uki step down huta umia sana
ila hiyo mihuri 12 mingi sana ingatakiwa akubanie kama mwaka hiv ndo angeachia
 
still unampenda na kumhitaji huyu mwanamke???

anaonyesha hana msimamo katika maamuzi na mapenzi
 

Ashadii:umeongea busara sana sana,nimejaribu kugangamala kama unavyo sema kwa wiki tatu,mtoto aelekei kabisa,na sasa hivi anakwambia haya mambo yote amemkabidhi mungu,kwa hiyo kasema hata mimi nikitaka kuendelea kuwa naye lazima nimuombe mungu sana,sasa hapo sijui unasema ashadii?

na hata katika maongezi yake anasema hakuna mtu aliyemkosea kwa sote wawili,lakini yeye anakabidhi hili swala kwa mungu aweze kufanya maamuzi sahihi,kuwa yupi bora na yupi mwenye dhamira ya kweli...
 
Mpe muda huyo binti ajifikirie yupo wapi.

kwa siku hizi chache tu za wiki kama 3 hivi anaonesha kuwa yupo upande wa ally,ila sasa anashindwa kuniambia,na sababu kubwa anayo itoa yeye ni kuwa ally alikuwa naye kwa muda mrefu sana kama miaka 3 hivi,nawalitofautiana dini tu na si kitu kingine,sasahivi ally kasikia kama mimi nachakachua anasema yupo tayari kubadili dini na kuwa mkristo,binti maswali mengi yanamjia kichwani kwake,kwanini akubadili dini hadi alipo sikia kuwa nipo na mtu mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…