Ni hivi, kwa kuangalia ushauriw a wengi..hasa wanaume hapa....wote unakushauri kwua ni RISK kubwa sana kusema umwoe huyo binti kwa dalili alizoonyesha
Love wangu AshaDii hapa kakwambia kuwa kwa wanawake wanaweza kuwa wanachanganyikiwa sometimes, hawajui wanataka nini au wanamtaka nani....kwa mazingira hayo hakuna guarantee kuwa hata ukiongeza efforts, utampata kwa moyo mweupe bila kuwa na ile kitu kuwa anamfikiria Ally wake kila mara!
sasa basi, mtafute one more time, mwambie akupe msimamo (hii ya kusubiri sana hii sio njema hata kidogo) mwambia unahitaji jibu lakeili uweze kupanga mipango yako mapema.
Kupenda kupo, ila kuna kupenda TENA. Hakuna kupenda mara moja...you have to move one...manake ukikosea ukaja tena hapa kutaka ushauri kuwa 'una ushahidi wa mazingira' kuwa mkeo anacheat na Ally, hiyo itakuwa too far na itakuwa kosa lako mkuu
NOW: Move on, mwite, ongea naye, weka msimamo, chapa mwendo.