sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
- Thread starter
-
- #41
Kwahiyo na mimi nina advantage kwako kwa kuwa tupo wote hapa JF? if yes nianze mchakato haraka..........
mhh miezi mitatu sio mingi kihiiivyo sio mbaya kama uki step down huta umia sana
ila hiyo mihuri 12 mingi sana ingatakiwa akubanie kama mwaka hiv ndo angeachia
still unampenda na kumhitaji huyu mwanamke???
anaonyesha hana msimamo katika maamuzi na mapenzi
Umeona eee.....hutakiwi bwana angalia usawa mwingine
mi namshangaa anangangania nini wakati watu tupo wa kumwaga ,eti kisa mwalimu ,kwani hajui kusoma na kuandika anamtegemea aje kumfundisha chumbani? si kuna memkwa bwana?Umeona eee.....
jamaa hana chake hapo sijui anataka apigiwe gitaa?
Msimamo ni kitu cha muhimu zaidi,Msema kweli mpenzi wa mungu mimi bado nampenda,kwa sababu ni binti mzuri,educated,anaheshima,anamawazo ya maendeleo,anajua kufanya budget ya pesa vizuri.kwa hiyo kwa sababu hizo na nyingine ambazo sijazitaja sina sababu ya mtoto wa kiume kumchukia au kutompenda.
ha ha haaaa, hajakutana na nesi huyu!mi namshangaa anangangania nini wakati watu tupo wa kumwaga ,eti kisa mwalimu ,kwani hajui kusoma na kuandika anamtegemea aje kumfundisha chumbani? si kuna memkwa bwana?
je polisi? au security guardha ha haaaa, hajakutana na nesi huyu!
Msema kweli mpenzi wa mungu mimi bado nampenda,kwa sababu ni binti mzuri,educated,anaheshima,anamawazo ya maendeleo,anajua kufanya budget ya pesa vizuri.kwa hiyo kwa sababu hizo na nyingine ambazo sijazitaja sina sababu ya mtoto wa kiume kumchukia au kutompenda.
Teh teh security guard yuko poa hakuna kulala mpaka chweee!je polisi? au security guard
mwambie anione bwanaTeh teh security guard yuko poa hakuna kulala mpaka chweee!
Sasa huo mtihani.....mwambie anione bwana
mi namshangaa anangangania nini wakati watu tupo wa kumwaga ,eti kisa mwalimu ,kwani hajui kusoma na kuandika anamtegemea aje kumfundisha chumbani? si kuna memkwa bwana?
Sasa huo mtihani.....
Jitahidi kula kitimoto na kunywa bia, mawazo yataishi na utamsahau huyo mwalimu.