sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
- Thread starter
-
- #81
The environment principally plus the whether....
Asante sana AshsDii!!!!!Juhudi sio finyu ila tatizo linakuja kwake,hataki tuonane,ukimpigia simu kuipokea ni shughuli pevu,sasa unafikiria hapa mambo yamekaaje?
red:sikuangushi mama:
which principally are talkng?mhhhhh!whether?
Mfuate aliko... Mapenzi sio wakati wa raha tu... Mapenzi hukomaa zaidi pale mnaposhinda mapito kama haya... Mie siamini kua umetupia energy yako mpaka mwisho... after all it is only two weeks...
Nakupa siri moja ambayo nimakosa makubwa saana nafanya... but hata hivo kwa kukusaidia.. Sie wanawake hutumia saana mioyo yetu katika maamuzi kama hayo, (hivyo saa ingine hutuchanganya mpaka unapoteza track ni nini kimekuchanganya) ni tofauti na kama uki analyse kwa kutumia vigezo ili upate jibu; Na huyo dada jinsi ninavoona - ni kua hata yeye haelewi ni nini/nani anataka... Kama wampenda na she is worth it naamini kabisa ukigangamaa kiume - Ally hapati kitu hapo; Ukizingatia yupo Mwanza na wewe upo nae dada karibu... Hivo una Great advantage ya kumuweka sawa na abaki na wewe..
Mi nampenda lakini katika maongezi yake inaonekana yupo kwa ally kwasababu anasema alikuwa naye kwa muda mrefu sana kabla ya kukutana na mimi,ila kitu ambacho kinampa wasiwasi kwa nini akubali kubadili dini leo hii?
mkuu hata ukimchukua huyo awe mkeo kuna uwezekano mmkubwa ukaja kuibiwa tu
kkifupi ni kwamba angalia usawa mwngine binti hakupendi kivile..
Nimekusoma mkuu!pamoja sana.
Ni hivi, kwa kuangalia ushauriw a wengi..hasa wanaume hapa....wote unakushauri kwua ni RISK kubwa sana kusema umwoe huyo binti kwa dalili alizoonyesha
Love wangu AshaDii hapa kakwambia kuwa kwa wanawake wanaweza kuwa wanachanganyikiwa sometimes, hawajui wanataka nini au wanamtaka nani....kwa mazingira hayo hakuna guarantee kuwa hata ukiongeza efforts, utampata kwa moyo mweupe bila kuwa na ile kitu kuwa anamfikiria Ally wake kila mara!
sasa basi, mtafute one more time, mwambie akupe msimamo (hii ya kusubiri sana hii sio njema hata kidogo) mwambia unahitaji jibu lakeili uweze kupanga mipango yako mapema.
Kupenda kupo, ila kuna kupenda TENA. Hakuna kupenda mara moja...you have to move one...manake ukikosea ukaja tena hapa kutaka ushauri kuwa 'una ushahidi wa mazingira' kuwa mkeo anacheat na Ally, hiyo itakuwa too far na itakuwa kosa lako mkuu
NOW: Move on, mwite, ongea naye, weka msimamo, chapa mwendo.
Inapendeza sana kwa ushauri mzuri,last week nilifanya kama ulivyo shauri hapo,lakini akaniambia nizidi kumpa muda maana kwa sasa hili swala amerikabidhi kwa mungu,hapo unasemaje?
Achana na binti huyo kwanza hana mapenzi ya kweli, kwanza kwanini aachane na ally kisa dini? Penzi la kweli halichagui dini,kabila,rangi,umri wala kiwango cha elimu mtu akupende kama ulivyo nawe umpende kama alivyo.Shika ustaarab wako kaka hapa huna chako.
Mkuu kuwa makini, hiyo ni gia tu ya kuvuta vuta muda anasome upepo unakwendaje.....vipi na wewe umelikabidhi kwa Mungu? huo ni uamuzi wa watu wawili, sio wa upande mmoja!
Mi nilishakabidhi kwa mungu muda mrefu sana tokea tulivyo anzauhusiano tu.
Pole sana mkubwa! Ushauri wangu endelea kuvuta subra mpaka mrembo atakapo kuwa tayari kuzungumza na wewe! Kuwa tayari kwa lolote afta ol hamjazama sana, miezi mi3 si mingi u can do anything!
Ni hivi, kwa kuangalia ushauriw a wengi..hasa wanaume hapa....wote unakushauri kwua ni RISK kubwa sana kusema umwoe huyo binti kwa dalili alizoonyesha
Love wangu AshaDii hapa kakwambia kuwa kwa wanawake wanaweza kuwa wanachanganyikiwa sometimes, hawajui wanataka nini au wanamtaka nani....kwa mazingira hayo hakuna guarantee kuwa hata ukiongeza efforts, utampata kwa moyo mweupe bila kuwa na ile kitu kuwa anamfikiria Ally wake kila mara!
sasa basi, mtafute one more time, mwambie akupe msimamo (hii ya kusubiri sana hii sio njema hata kidogo) mwambia unahitaji jibu lakeili uweze kupanga mipango yako mapema.
Kupenda kupo, ila kuna kupenda TENA. Hakuna kupenda mara moja...you have to move one...manake ukikosea ukaja tena hapa kutaka ushauri kuwa 'una ushahidi wa mazingira' kuwa mkeo anacheat na Ally, hiyo itakuwa too far na itakuwa kosa lako mkuu
NOW: Move on, mwite, ongea naye, weka msimamo, chapa mwendo.
@ Sulphur.... Nimeshindwa jibu la zaidi katika hio quote ya Mwisho sababu kila ushauri unaopewa unadai umeufanyia kazi... Kwa njinsi Mpenzi Kaizer alivooleza katika hii post.... Naamini ni ushauri mzuri kufuata....
hao bwana duuuuhh hujui hata usemeje. mana kila mmoja ikibidi aseme maudhi ya mwenzi wake wa kike hapatatosha hapa.Ndugu zetu wakoje tena burner?