Freightliner
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 720
- 527
Duu kuna kazi Maswali gan Hayo mnauuliza,kisa tu umejua kuandika post basi ndo mnajiandikia tu,huku siyo facebook
c ubaya wake upo wapi
Nilishasema hawa first year wa mwaka huu ni matokeo ya shule za kata. Sasa swali kama hil nalo ni la kuuliza kweli? Halafu eti anasema "wajuzi wa mambo nipeni ukweli", hivi hilo nalo linahitaji ujuzi? Safari ya kujikomboa kielimu bado ni ndefu

Uwe na pocket money ya kutosha la sivyo uje ufanye vibarua ili kuishi. Ukweli ndo huo hupewi funguo mpaka ume-clear kila kitu.
Hiv jeshi umeenda [COLOR=#FF000]ww?nnamashaka[/COLOR] na uhalali wa matokeo yako
daaaa ndiyo unamuumbua mwana UDOM mwenzanguuDuu kuna kazi Maswali gan Hayo mnauuliza,kisa tu umejua kuandika post basi ndo mnajiandikia tu,huku siyo facebook
hakuna chuo ambacho utapema room kabla ya kujisajili kk hata kama ni chuo cha dunia kama wanavyodai vijana wa UDSM