Wandugu ni kweli udom kuna hili?

Wandugu ni kweli udom kuna hili?

Freightliner

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
720
Reaction score
527
Nipo njian naenda udom naomben mnijuze je eti ni kweli hostel hazipokei wanafunzi kabla hawajasajiliwa?wajuzi wa mambo nipen ukweli
 
Duu kuna kazi Maswali gan Hayo mnauuliza,kisa tu umejua kuandika post basi ndo mnajiandikia tu,huku siyo facebook
 
Nilishasema hawa first year wa mwaka huu ni matokeo ya shule za kata. Sasa swali kama hil nalo ni la kuuliza kweli? Halafu eti anasema "wajuzi wa mambo nipeni ukweli", hivi hilo nalo linahitaji ujuzi? Safari ya kujikomboa kielimu bado ni ndefu
 
Halafu Bahati mbaya hawapendi kurekebishwa...

Wabishi kweli kweli,eeh mungu komboa hiki kizazi....
 
Nilishasema hawa first year wa mwaka huu ni matokeo ya shule za kata. Sasa swali kama hil nalo ni la kuuliza kweli? Halafu eti anasema "wajuzi wa mambo nipeni ukweli", hivi hilo nalo linahitaji ujuzi? Safari ya kujikomboa kielimu bado ni ndefu

hapo nikumsaidia tu kama unajua bt kama hujui kaa kimya wenzako wamsaidia,kama ni kutafuta guest atafute mapema NOTHING ELSE
 
Tukubaliane kwa pamoja! Namna ya kuuliza haikuwa nzuri sana na hata majibu pia hayakuwa ya kiungwana!
Kwa ajuaye ampatie jibu na kwa aliyeuliza pia ajirekebishe kidogo kuonyesha kweli amepevuka ili shule zetu MKOMBOZI waziitazo za kata zisitupiwe matusi
 
Uwe na pocket money ya kutosha la sivyo uje ufanye vibarua ili kuishi. Ukweli ndo huo hupewi funguo mpaka ume-clear kila kitu.
 
Unawah nin hvo sasa,au unadhani kuna zawadi znatolewaga kwa watu wanaowah chuo?
 
Sasa wewe Kama hujasajiliwa unategemea upewe Chumba na nani? Kama haujasajiliwa maana yake hautambuliki kwa maana hiyo hustahili kupatiwa huduma yeyote!

Sent from my BlackBerry 8900 using JamiiForums
 
Hiv jeshi umeenda ww?nnamashaka na uhalali wa matokeo yako
 
Hiv jeshi umeenda [COLOR=#FF000]ww?nnamashaka[/COLOR] na uhalali wa matokeo yako

Wewe umeenda ama ndio upo jeshini sasa hivi, kundi la waliofeli...?

Pole bwana mdogo,vidole havina mfupa...!
 
Duu kuna kazi Maswali gan Hayo mnauuliza,kisa tu umejua kuandika post basi ndo mnajiandikia tu,huku siyo facebook
daaaa ndiyo unamuumbua mwana UDOM mwenzanguu

  • A%20S-confused1.gif

Yote kwa yote nko room hapa udom na stoney tangawiz yangu yaaan fresh
 
hakuna chuo ambacho utapema room kabla ya kujisajili kk hata kama ni chuo cha dunia kama wanavyodai vijana wa UDSM
 
Back
Top Bottom