Duu kuna kazi Maswali gan Hayo mnauuliza,kisa tu umejua kuandika post basi ndo mnajiandikia tu,huku siyo facebook
Yote kwa yote nko room hapa udom na stoney tangawiz yangu yaaan fresh
Sasa utapokelewaje na hujasajiliwa watakujuaje jaman kama wewe ni mwanafunzi
chuo cha kata wanafunz wa kata utaratibu wa kata
umeshapata nyumba ya kupanga??