Wandugu ni kweli udom kuna hili?

Wandugu ni kweli udom kuna hili?

Duu kuna kazi Maswali gan Hayo mnauuliza,kisa tu umejua kuandika post basi ndo mnajiandikia tu,huku siyo facebook

heeeeeeeeeee......heeeeeee...jamani kama unajibu si utoe....maana hayo uliyosema ni mengi kuliko majibu....
 
Yote kwa yote nko room hapa udom na stoney tangawiz yangu yaaan fresh

hujatuambia kama umepewa funguo yawezekana umebebwa na wanaosapua wamejaa huko sahzi !! Unahamu na chuo kijanaa haya anza kwenda tuition!!!
 
Sasa utapokelewaje na hujasajiliwa watakujuaje jaman kama wewe ni mwanafunzi
 
usiwe na kihere here kijana wewe upo njiani bora ungekuwa nyumbani!!!!
hapa utapata majibu ya ajabu!!!!
utakachoambiwa hapa hakitoweza kuahirisha safari yako fika kwanza!!!!
😛lane:
 
Sasa utapataje hostel bila kusajiliwa? Nani atakutambua bila kusajiliwa, ahaa mnatupotezea MB zetu kufungua thread ukidhan kuna la maana kumbe hakuna jipya na hakuna chuo ambacho utapewa hostel kabla ya kusajiliwa kwani wakati wa usajili ndipo unapangiwa hostel baada ya kujiridhisha na malipo uliyoyafanya
 
Back
Top Bottom