JS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 2,064
- 504
Mpe pole rafiki yako. Hivi huo ugonjwa kumbe ndo mbaya hivyo??? Kiutalaamu unaitwaje nipate kugoogle nijisomee zaidi??
Amueleze tu mkewe kabla mambo hayajaharibika zaidi. its always better kusema mapema asije kugundua mwenyewe inakuwa kesi zaidi. na hapo ukiangalia "huduma muhimu/chakula cha ndoa" kimesitishwa kwa muda until further notice ndo mama atazidi kupata wasiwasi.
Huyo mke na yeye mbona hamuamini mumewe kiasi hicho???? au huyo mshkaji hajatulia nini mpaka mke mke anakosa imani naye hivyo???
kama mambo yenyewe ndo hayo ya gym duuh mbona kazi nilikuwa nataka nikajieke sawa nianze gym lakini pananitisha hata kutumia mabafu yao ni balaa.