Wanfunzi 33,050 kupewa mikopo kati ya zaidi ya 49,000 walioomba

Wanfunzi 33,050 kupewa mikopo kati ya zaidi ya 49,000 walioomba

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Wanafunzi wa sayansi kupendelewa, ualimu tu wengine wajitegemee na wamedai mwaka jana walitoa boom kwa wanafunzi takriban 26,000 na bajeti waliyopewa na wizara ya elimu.
 
Inamaana wasiosoma sayansi na ualimu hawajapewa mikopo?
 
Nawaonea huruma sana kwani watakao kosa wengi ni watoto wa lala hoi.
 
Ina maana kuwa siri-kali haina fedha ya kuwalipia waombaje wote!?
 
Heslb,wazinguaji,scienc,Education tumekosa mikopo,mwaka jana..! Mwaka uu patachimbika bodi
 
Madhara ya serikali kushindwa kusimamia kodi vizuri,kutoa misamaha ya kodi kiholela,kutotumia vizuri rasilimali zilizopo kama madini ,gesi n.k vizuri,ufisadi,kulipana mishahara mikubwa na ya kutisha vinasababisha maumivu kwa wananchi hususan wanafunz wa elimu ya juu
 
Tatizo tunachanganya elimu na siasa mchwara.we acha tu 2015 kitachimbika , kitaeleweka tumechoka.
 
Malalamiko yetu tutayatoa 2015,msipigizane nao kelele. hao wanatoa mkopo wamesoma bure, leo hii wamesahau?
 
Wabantu tulivyo, tutakuwa umesahau !

wakusahau nan? Nakwambie 2015 wataisoma number,ccm na wadhaifu wake wapumzike kwanza may be wanaweza cku moja kujipanga upya na kwa nguvu mpya yenye kuleta manufaa kwa watz cyo leo ofisi za umma wamebadili kuwa picnic,2015 kitaeleweka.
 
Usiikanushe historia! Historia inaonyesha hivyo! Wewe huna influence yoyote juu ya wapiga kura whatsoever. Ninakuunga mkono sana kuwa CCM tuiwajibishe kwa kutojali walala hoi na kuwakumbatia matajiri> Lakini as you and stand, we have nothing to change the situation as individuals. Ni kuunga mkono vyama vya upinzani may be, and I say may be wanaweza kuleta mabadiliko.
 
get u bro cku zote imani yangu ni kwamba kila m2 mmoja ana wafuasi wake kama 50,so individual bt very magnitude impacts to existing gvt,
 
get u bro cku zote imani yangu ni kwamba kila m2 mmoja ana wafuasi wake kama 50,so individual bt very magnitude impacts to existing gvt,

Let us Join M4C! Tuwahamasishe watu, ingawa mimi sio mwanachama wa CDM lakini naona they may be the root of change!
 
Yule Mkurugenzi angekuwa ni china kashanyongwa zamani kwa kupotosha umma....Nchi gani hii isiyo na utaratibu.....i hate ccm!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom