Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Wanafunzi wa sayansi kupendelewa, ualimu tu wengine wajitegemee na wamedai mwaka jana walitoa boom kwa wanafunzi takriban 26,000 na bajeti waliyopewa na wizara ya elimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo tunachanganya elimu na siasa mchwara.we acha tu 2015 kitachimbika , kitaeleweka tumechoka.
Wabantu tulivyo, tutakuwa umesahau !
wakusahau nan? Nakwambie 2015 wataisoma number,ccm na wadhaifu wake wapumzike kwanza may be wanaweza cku moja kujipanga upya na kwa nguvu mpya yenye kuleta manufaa kwa watz cyo leo ofisi za umma wamebadili kuwa picnic,2015 kitaeleweka.
Usiikanushe historia! Historia inaonyesha hivyo! Wewe huna influence yoyote juu ya wapiga kura whatsoever. Ninakuunga mkono sana kuwa CCM tuiwajibishe kwa kutojali walala hoi na kuwakumbatia matajiri> Lakini as you and stand, we have nothing to change the situation as individuals. Ni kuunga mkono vyama vya upinzani may be, and I say may be wanaweza kuleta mabadiliko.
get u bro cku zote imani yangu ni kwamba kila m2 mmoja ana wafuasi wake kama 50,so individual bt very magnitude impacts to existing gvt,