Wangapi bado mnamkumbuka Muhammad Saeed al-Sahhaf?

Wangapi bado mnamkumbuka Muhammad Saeed al-Sahhaf?

Binafsi niliumia sana kuona Marekani wakimtandika Saadam Hussein nyumbani kwake. Nashangaa viongozi wetu wanawaacha watu wanaovuruga amani ya nchi hii kwa kisingizio cha Demokrasia wakati baba wa demokrasia anaua kila siku
Uliwahi kuona Serikali ya Chama cha Republican wakiwazuia kufanya siasa au kuwapiga mabomu Democratic na au Serikali ya Democratic kuwazuia au kuwapiga mabomu Republican? Hiyo ndi demokrasia, demokrasia sio kuwaziba watu wasiseme wanachoona kina maslahi kwa nchi yao.
 
Back
Top Bottom