round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Hao kina Yi Piya walinichosha na story zao zile zile za kugombania ufalme,Historical Korean movies
Yeah,IRIS ni movie aiseeHao kina Yi Piya walinichosha na story zao zile zile za kugombania ufalme,
Kazi niliyowahi kuielewa ni Iris na Squid game
Kitu kimeenda shule, walinifanya hadi nipende mziki unaochezwa mule ndani unaitwa HalleluyahYeah,IRIS ni movie aisee
😂😂🤭Haya bhanaKitu kimeenda shule, walinifanya hadi nipende mziki unaochezwa mule ndani unaitwa Halleluyah
Haleluyaaah
I’m fallin’ fallin‘
shimmy shimmy yo
1,2 step action
mission complete
no doubt
akienda kwenye hii thread ndo atajua kuwa kuna movie na series nyingi bado hajaonaSeries (Special thread)
Kama ujaangalia hii inabidi ukamatwe upigwe fimbo Huo mzigo wa motowww.jamiiforums.com
Ni nzuri mkuu. kuna nyingine inaitwa Countdown ushaicheki hyoNimeangalia movie nyingi na napendelea zile movie zimetokana na true events or true stories, survival movies, historical, na nyingne.
Hivi karibuni sipati muda wa kuangalia movie naishia kuangalia trailers lakini sipati muda wa kutulia.
kuna hiyo horror movie moja inaitwa Talk to Me nimeona trailer yake inaonekana iko poa.
Kabisaa mkuu.akienda kwenye hii thread ndo atajua kuwa kuna movie na series nyingi bado hajaona
Hapana sijaicheck hiyo.Ni nzuri mkuu. kuna nyingine inaitwa Countdown ushaicheki hyo
inahusu app moja ukidownload inakuonyesha umebakiza siku ngapi za kuishi na ikifika hyo siku unakufa kweli tena kifo cha ajabu, kama kawaida ya binadamu huwa wanajua ni utani ila walivyoanza kufa watu ndo wakajua ni seriousHapana sijaicheck hiyo.
Nili taka kumwambia hilo, aka angalie back to the future ya Mwaka 90 huko ziko 3.Hamna kazi hapa. Wewe sio muangaliaji wa movie.
Muangaliaji mzuri wa movie ataelewa kwamba kadri unavyozidi kuangalia movie, unazidi kugundua umeona movie chache sana.
Ilifeli baadhi ya watazamaji wanasema ni low budget movieKwani Ile ya Raisi Samia umeitazama ?