akili_ninazo
Member
- Mar 18, 2025
- 72
- 148
Nitaifuta hiyo... Inataka kufanana friend requestinahusu app moja ukidownload inakuonyesha umebakiza siku ngapi za kuishi na ikifika hyo siku unakufa kweli tena kifo cha ajabu, kama kawaida ya binadamu huwa wanajua ni utani ila walivyoanza kufa watu ndo wakajua ni serious
Sikuhiz Maboss ndio wanatuma watu, ukiona huna hata huo muda ujue wewe ndio unatumwa jioni umtumie hesabuWe ni jinsia gani kwanza me au ke? kama ni me ni hasara kwa ukoo wenu kwanza unatoa wapi huo muda!, madhara ya kushinda sebuleni kwa shemeji yako utayaona pindi dada yako akiachika.
Boss wewe hauna ofisi boss wa aina gani badala ukae ofisini uunganishe madili we upo tu nyumbani!, yani kumiliki boda boda 2 tayali unajiona boss.Sikuhiz Maboss ndio wanatuma watu, ukiona huna hata huo muda ujue wewe ndio unatumwa jioni umtumie hesabu
Umesahau bajaji, afu nenda kacheki movie ya kuitwa NIGHT CALL πBoss wewe hauna ofisi boss wa aina gani badala ukae ofisini uunganishe madili we upo tu nyumbani!, yani kumiliki boda boda 2 tayali unajiona boss.
Mimi miaka hii sijaangalia nilikua busy sanaa.Hii Ndio Inaitwa hakuna jiwe litaachwa limesimama, kilichobaki labda Trailers Tu !
Ukiomba ushauri wa movies za genre unayoipenda unakuta kila movie ulishaivamia kitambo
Hadi upate muvi mpya ni shughuli pevu
lucky seven kitambo sana hio nikiwa darasa la tatuMimi miaka hii sijaangalia nilikua busy sanaa.
Tangu mwaka Jana mwezi wa SITA sijaangalia kabisa.
Mkuu mtoa MADA kwaio Hadi LUCKY SEVEN umeshaga iangalia π
Kweli wewe mKali mpaka ZILE za EDDY MURPHY.lucky seven kitambo sana hio nikiwa darasa la tatu
Hii ni kweli kabisa, binafsi nalipia Netflix na Prime video, nilikuwa najiona master kwenye haya mambo ila nimekuja kugundua kumbe mimi bado sanaa πHamna kazi hapa. Wewe sio muangaliaji wa movie.
Muangaliaji mzuri wa movie ataelewa kwamba kadri unavyozidi kuangalia movie, unazidi kugundua umeona movie chache sana.
Yani hizo zote mpaka baby's day out, home alone, n.k. nishaangalia sana kabla sijafika la tatu.Kweli wewe mKali mpaka ZILE za EDDY MURPHY.
π π π