The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Nina tambua. Acha waje.Tafuta wanasaikolojia humu utakumbana na majibu ya ajabu ajabu
Ngoja waje ukasirike uanze kutetemeka na humu...😂Nina tambua. Acha waje.
Hawa wa huku ni wakupuuza tu. Hawana madhara😀😁Ngoja waje ukasirike uanze kutetemeka na humu...😂
Tulia wakuonyeshe shughuliHawa wa huku ni wakupuuza tu. Hawana madhara😀😁
Mbaya sana hio!
kunywa maji husaidiaKawaida sichukuliagi mambo kwa uzito hata mtu akinikera ila kuna muda najikuta napoteza udhibiti wa hasira najikuta naanza kutetemeka kabisa. Hakuna baridi wala uoga. Najikuta nipo mpakani mwa maamuzi: lolote linaweza kutokea ndani ya muda huo.
Sitamani hali hii kuendelea.
Wengine mnawezaje kudhibiti hasira mambo yanapoenda juu ya kiwango chako?
Unavimbisha mashavu, na ulivyo na macho mazuri...Mbaya sana hio!
Ni balaa...Hasira hadi unatetemeka! Hiyo mbaya si unaweza nyonga mtu?
Kutetemika ukiwa na hasira ni dalili ya umaskini
Hawa wa huku ni wakupuuza tu. Hawana ma