Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Kama huyo aliekukasirisha hajakudhuru physically basi ondoka hiyo sehemu na tembea kwa mda basi hasira zitashuka
Wakuwapuuza tu. Watu hatujuani bado unamuita mwenzako masikini. Yuko timamu kweli?😁Wa kwanza huyu hapa, moja ya majibu ya ajabu