Kwa heshima zote dada yangu naomba usiwasemee watu, acha wanao hisi kuguswa wachangie.
Uzuri mdau kaweka na utambulisho wake hivyo atafuatiliwa vizuri kusiwe na ulaghai.
Kwa heshima zote dada yangu naomba usiwasemee watu, acha wanao hisi kuguswa wachangie.
Uzuri mdau kaweka na utambulisho wake hivyo atafuatiliwa vizuri kusiwe na ulaghai.
Serikali imegoma kuwaongezea mishahara, mikopo nayo imekuwa tyte. Hizi huduma zinawasaidia sana. Mimi binafsi huwa nakopo kupitia watu kama hawa ili kufanya biashara zangu. Sionagi ngumu kukopa 1m kwa riba hata ya 20% kwa mwezi kama iyo pesa naingizia faida ya 300%. Hii serikali iache kuvuruga...
www.jamiiforums.com
Baada ya hili sakata wakopeshaji wa kadi inchi nzima waliogopa serikali iliwakalia kooni kwa sababu walikuwa wanafanya biashara kinyume na sheria
Baada ya hapo hawa maboss inchi nzima wakaitana Dodoma, wakatafuta hotel nzuri wakachanga pesa nzuri kila tajiri wakawaita viongozi wa serikalini wakiomba sheria hii itungwe viongozi wenye dhamana wakaona hapana haiwezekani
Basi hawa matajiri wakaitana tena wakachangishana pesa nyingi sana wakatumia watu kwenda serikalini wanaanza kucheza na wizara ya feza kuwahonga ili waweze kutungiwa hii sheria wamehonga pesa nyingi sana yani wamehonga kupita maelezo lengo sheri a iwepo iwape Uhuru wakuendesha biashara zao ambazo zipo kinyumbe na utaratibu za inchi na ni zakihujumu uchumi
Kwaiyo hiyo sheria imetungwa baada ya kundi furani kuhonga pesa ili wakafanye mambo yao uko mitaani
Ajabu vyombo vya usalama vipo unajiuliza hawajui haya mambo yani kiufupi viongozi wa serikali wamekuwa corrupted na hili genge la wakopeshaji wa mitaani maana jamaa ni wizi wanawanyonya sana watu
Ngoja ipo siku takuja na Uzi mzima wamehonga bei gani mpaka wametunguiwa sheria hii ya hivyo na inayoenda angamiza taifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.