Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,952
Na kama mwanaume sio virgin nayo ni ndoa au sio ndoa?
Mkuu unajua Bible haifanyiwi marekebisho kama katiba ya JMT. Hilo ni nukuu toka kwa baibo, sasa hili swali labda ungemuuliza Mungu. Kwa sasa tujadili hoja....wanawake mlioolewa mkiwa mshatolewa utepe. Ndoa zenu NI BATILI, asema bwana.Na kama mwanaume sio virgin nayo ni ndoa au sio ndoa?
Bishanga na watu fulani (mnajijua) wala msijisumbue kujibu!
mhn..........! mi simo!
mmh kwa hiyo biblia inamkandamiza mwanamke pia,mbona haijangalia upande wa pili
Mungu atuhurumie!!! Hivi, tutapataje kupona kama dunia ndiyo hii???????Tukianza kutoa tigo ili tuwawekee mbele mnapiga makelele.....
Ndio Maana Mungu ni MWANAUME.mmh kwa hiyo biblia inamkandamiza mwanamke pia,mbona haijangalia upande wa pili
Hapo bikira inayozungumziwa ni bikira zote. Za kikojoleo, Kinyeo, Mdomo (Msinyonye makitu kabla ya ndoa), Mkono (Msishike mastorongo kabla hamjaolewa), Mapaja (Msiweke mastorongo kwenye mapaja ya wanaume kabla hamjaolewa), Manyonyo na kila kitu mnachotumia kuwafurahisha mahawara zenu kabla hamjaolewa.Tukianza kutoa tigo ili tuwawekee mbele mnapiga makelele.....
tumshukuru mungu...Hapo bikira inayozungumziwa ni bikira zote. Za kikojoleo, Kinyeo, Mdomo (Msinyonye makitu kabla ya ndoa), Mkono (Msishike mastorongo kabla hamjaolewa), Mapaja (Msiweke mastorongo kwenye mapaja ya wanaume kabla hamjaolewa), Manyonyo na kila kitu mnachotumia kuwafurahisha mahawara zenu kabla hamjaolewa.
Na Hilo Ndilo Neno La Mungu.
mmh kwa hiyo biblia inamkandamiza mwanamke pia,mbona haijangalia upande wa pili
Na kama mwanaume sio virgin nayo ni ndoa au sio ndoa?