Wangapi Mna Ndoa Halali if You take This Pic Literary...?

Wangapi Mna Ndoa Halali if You take This Pic Literary...?

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2009
Posts
5,101
Reaction score
1,952
314354_10150995587846275_2045588720_n.jpg

Bishanga na watu fulani (mnajijua) wala msijisumbue kujibu!
 
Na kama mwanaume sio virgin nayo ni ndoa au sio ndoa?
 
Na kama mwanaume sio virgin nayo ni ndoa au sio ndoa?
Mkuu unajua Bible haifanyiwi marekebisho kama katiba ya JMT. Hilo ni nukuu toka kwa baibo, sasa hili swali labda ungemuuliza Mungu. Kwa sasa tujadili hoja....wanawake mlioolewa mkiwa mshatolewa utepe. Ndoa zenu NI BATILI, asema bwana.

314354_10150995587846275_2045588720_n.jpg

Bishanga na watu fulani (mnajijua) wala msijisumbue kujibu!
 
katika verse 28 kama ukimkuta mke wako ni bikra huruhusiwi kumwacha siku zako zote
 
Tukianza kutoa tigo ili tuwawekee mbele mnapiga makelele.....
Hapo bikira inayozungumziwa ni bikira zote. Za kikojoleo, Kinyeo, Mdomo (Msinyonye makitu kabla ya ndoa), Mkono (Msishike mastorongo kabla hamjaolewa), Mapaja (Msiweke mastorongo kwenye mapaja ya wanaume kabla hamjaolewa), Manyonyo na kila kitu mnachotumia kuwafurahisha mahawara zenu kabla hamjaolewa.

Na Hilo Ndilo Neno La Mungu.
 
tumshukuru mungu...
 
Mmmmh, akyanani
Hamunamo ndoa halali, labda 1/1000000000000000000000000000000000000000000
 
Kwa hoja yako chini ya sheria ya Musa ni sahihi in a maanisha kilichoandikwa, ila mwanamume akimridhia mwanamke huyo then mwanamke huyo aliyeolewa pasipo bikira hana hatia.kinacholindwa hapa si ubikira au la Bali ni dhamira za wanandoa ni safi, kwa sababu bikira haiwezi kutoka bila mwenyenayo kujua.

Kwa maana kwamba mwali alitakiwa kumjuza mwanaume ya kuwa yeye si bikira na mambo takribani yote yanayomhzunguka yeye vivyo hivyo mwanamume alipaswa kumjuza mwali.

Ukisoma hiyo sura vizuri,
Kama mwanamume alifanya mapenzi ya mwili ama ameshaoa au Alibaka hivyo angekuwa ameshauawa kabla ya kumkuta Huyu mwali wa sasa.

Kwa sasa sheria hii ni kiwakilishi (kivuli) maana kwa sababu ya kristo Sheria imebatilishwa kwa neema,maana yake mwanadamu hahukumiwi hapo hapo amepewa nafasi ya kutubu, nikweli bikira itakuwa imetoka lakini ananafasi ya kunusuru nafsi yake kwa toba na kweli.

Nitarudi baadae na maelezo zaidi. Naruhusu maswali kwa nia ya kujenga jamii.

Kwasababu Kama mwanamume Alibak
 
Back
Top Bottom