Wangapi tumeangalia series nyingi kiasi kwamba tunateseka sana kupata series mpya za kuangalia

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Series nilizocheki ni nyingi sana ni za kimarekani, kikorea na kilatini.

Yani hapa kupata series mpya imekuwa shughuli nzito sana

Napenda series za uhalifu, misukosuko ya kutoboa zero to hero,
 
Umejifunza nini kwenye hizo series
 
Series nilizocheki ni nyingi sana ni za kimarekani, kikorea na kilatini.

Yani hapa kupata series mpya imekuwa shughuli nzito sana

Napenda series za uhalifu, misukosuko ya kutoboa zero to hero,
Ajira huna ndomana una muda huo..unajisifia kuangalia tv bro[emoji23]..karne hii
 
Nateseka na series zenye crime ndani kila ninayoangalia naona haifai yaan napata tabu mno aisee
 
Niliiangalia prison break...nikahangaika sana kupata series nyingne nikapata black list ikaisha ... nikahangaika tena nikapata TULSA KING na THE OLD MAN .... saiv nina criminal mind
 
Back
Top Bottom