Wadau,
Nimechoka sana na haya maisha, nadhani kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa, hebu tuonje na upande mwingine wa shilingi.
Nafanya kazi kwa kujituma lakini naona bila bila

Wewe Neng'uli sikiliza,

Hakuna mtu aliyekulazimisha kufanya kazi ya mwanaume mwenzako bila mapato halisi

ya unachofanya,kwa hiyo nakushauri uache hiyo kazi na uanzishe kazi yako binafsi yaani

'ujiajiri' hapo utajua kama mshahara uliokuwa unapata ni mdogo au mkubwa.

Tatizo la elimu yetu Tanzania inafundisha watu kuajiriwa tofauti na Elimu wa wenzetu inafundisha

watu kuanzisha miradi mbalimbali ya kujiajiri.

Ni ushauri wangu tuu.
Kufanya kazi kwa bidii hakuna mahusiano na kumiliki hela. Kuna kazi hata ufanye masaa 24 kila siku bado utakuwa maskini. Muombe mungu akuzidishie her.
Nimechoka kuongozwa na CCM,
Wadau,
Nimechoka sana na haya maisha, nadhani kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa, hebu tuonje na upande mwingine wa shilingi.
Nimechoka na hiki Chama, Natamani kuongozwa na chama kingine. Yaani I am choka mbaya,
Inategemea labda matumizi yako hayaendani na kipato chako. Kwa njia hiyo usitegemee kupata maendeleo. Jitahidi kuhifadhi unachokipata na fanya matumizi ya busara, hutailaumu Serikali tena kwa umasikini wako.