Wangapi tumechoka?

Wangapi tumechoka?

Neng'uli

Senior Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
126
Reaction score
33
Wadau,
Nimechoka sana na haya maisha, nadhani kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa, hebu tuonje na upande mwingine wa shilingi.

Nimechoka na hiki Chama, Natamani kuongozwa na chama kingine. Yaani I am choka mbaya,

Inategemea labda matumizi yako hayaendani na kipato chako. Kwa njia hiyo usitegemee kupata maendeleo. Jitahidi kuhifadhi unachokipata na fanya matumizi ya busara, hutailaumu Serikali tena kwa umasikini wako.

Kufanya kazi kwa bidii hakuna mahusiano na kumiliki hela. Kuna kazi hata ufanye masaa 24 kila siku bado utakuwa maskini. Muombe mungu akuzidishie her.

Wadau,
Nimechoka sana na haya maisha, nadhani kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa, hebu tuonje na upande mwingine wa shilingi.

Nafanya kazi kwa kujituma lakini naona bila bila

Wewe Neng'uli sikiliza,
Hakuna mtu aliyekulazimisha kufanya kazi ya mwanaume mwenzako bila mapato halisi
ya unachofanya,kwa hiyo nakushauri uache hiyo kazi na uanzishe kazi yako binafsi yaani
'ujiajiri' hapo utajua kama mshahara uliokuwa unapata ni mdogo au mkubwa.

Tatizo la elimu yetu Tanzania inafundisha watu kuajiriwa tofauti na Elimu wa wenzetu inafundisha
watu kuanzisha miradi mbalimbali ya kujiajiri.

Ni ushauri wangu tuu.

hapo watanzania wanaogopa kujiajiri.

Hebu piga kazi na ridhika na kipato chako...ukianza kuamini kuwa shida ulizonazo zinasababishwa na viongozi basi utabaki kulalamika maisha yako yote.
grow up.

Kufanya kazi kwa bidii hakuna mahusiano na kumiliki hela. Kuna kazi hata ufanye masaa 24 kila siku bado utakuwa maskini. Muombe mungu akuzidishie her.

Ushauri wako ni mzuri lakini Neng'uli anataka mabadiliko kama umemsoma vizuri. Anahitaji kupata fikra bunifu kuliko aliyonayo sasa. Kwa ushauri wangu nasema apime faida na hasara za kuendelea kufanya kazi aliyonayo, aorodheshe hapa tumpe ushauri uliokamilika.

• Thanks
Reactions: LAT
Natamani mabadiliko, angalau na Chama Kingine kitawale

Wadau,
Nimechoka sana na haya maisha, nadhani kuna haja ya kufanya mabadiliko makubwa, hebu tuonje na upande mwingine wa shilingi.

Nimechoka na hiki Chama, Natamani kuongozwa na chama kingine. Yaani I am choka mbaya,

in the alternative kuwa mhuni kama walibya

Kweli hiki chama kinazidi kutuchosha zaidi na kelele zote hizi watu wanapiga wamechoka kuongozwa na vilaza wanaotawala kwa manufaa yao kama kina H.J,Mkuchika,Msekwa,Ngeleji,Gailo,Luhanjo,Shimbo,Vasco n.k...

Ajira hamna,mishahara mibovu,milipuko kila kona,ajari mtindo mmoja,ardhi inagawiwa kama karanga,mitaala ya seco migumu kama ya chuo kikuu,umeme wa miujiza,luku zimefungiwa kabatini,haya yote kwa nini usichoke?ama labda ww si Mtanzania?

Yaani Leo ndo nimechoka sana tuu, Nimesikia na hiki chama kitabeba helkopta kule IGUNGA, yani kimenichosha sana

Inategemea labda matumizi yako hayaendani na kipato chako. Kwa njia hiyo usitegemee kupata maendeleo. Jitahidi kuhifadhi unachokipata na fanya matumizi ya busara, hutailaumu Serikali tena kwa umasikini wako.

Serikali lazima ilaumiwe, kwa sababu imeshindwa kudhibiti mfumuko wa bei za vitu, hivyo kusababisha hata yule mwenye kipato kikubwa kushindwa kupanga matumizi yake. Unakuta dukani jana sukari iliuzwa TShs 2000, leo asubuhi umejipanga sasa ukanunue sukari unakuta inauzwa Tshs 2300, je hiyo 300 ambayo haikuwa kwenye budget ya sukari unaitoa wapi ili usivuruge budgeet zingine?

kwa herufi kubwa Serikali legelege lazima ilaumiwe

Back
Top Bottom