Wangapi tumependa Maneno aliyoyaandika Mchezaji Meddie Kagere katika 'Flana' yake Jana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"UKISHAMJUA MNAFIKI ISHI NAE KINAFIKI"

Kama kuna Mtu niliyeyapenda hayo (haya) Maneno basi ni Mimi GENTAMYCINE kwani hata hapa JamiiForums na kwingineko kuna watu naishi nao hivyo hivyo kinafiki huku wao wakidhani wamefanikiwa walichokilenga kwangu wakati kumbe mimi ndiyo nawasanifu kuliko wanavyojua.

Asante sana Meddie Kagere hakika, "UKISHAMJUA MNAFIKI ISHI NAE KINAFIKI"!

Kudadadeki....!!
 
Nyani katema Bungo.🤣🤣

Nasikia Kolo anataka kusajili raia ndugu na MK kwa kutumia ushawishi wake.

Mwamba kawakataa
 
ndio kitu tunachokifanya kuishi na jamaa wa chadema
 
Mbona maneno ya kawaida hayo ,yani ndio umeyajua jana..? Mi hua nakwambia we jamaa ni mpumbavu sana
 
Upo sahihi mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…