BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Nilivyomaliza kusoma comment yako nikatema mate chini, nikimanisha nimekudharau sana.Waambie waache chuki... Mume wako "Kaseja," mbona yupo vizuri tu
Mkuu unataka kusema kaseja hayupo vizuri.. Uliona ile penati aliyo okoa siku ile?Nilivyomaliza kusoma comment yako nikatema mate chini, nikimanisha nimekudharau sana.
WivuKaseja ndio alimuiba MKE Wa Athumani Iddi ,Athumani Iddi akagoma kucheza simba