BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Kijana wa watu wanamwandama sana, maneno maneno mengi, kama zama za Manula zimeisha basi apishe wengine.
Nyota ya mtu iking'aa huwezi kuizima. Mtameza sumu mfe huku mnajiona.
Tunashangaa kuona sasa hivi anashindanishwa kwa maneno kwamba nani mzuri kati yake na Manula, wamwache Kaseja, na yeye ale riziki yake, apate ulaji na mikataba kimono, amesota na kusubiri sana, hatutaki siasa kwenye mpira, figisu figisu hatuzitaki.
Coper 1... haipotei!