Jana nilikuwa natazama Clouds Tv, Babuu wa Kitaa anamwita baba wa marehemu Kanumba eti Mshua. Niliona jamaa kama akili hazimtoshi kabisa.nikweli aisee hawa jamaa itakuwa wajaa wanatafuta kiki kwa mabosi zao waonekate wanafanya kazi
mfano EITV zile post za facebook hazina maana yoyote mara ya misho kufatilia pist zao ulikuwa jana et wanampmbanisa Reyvvan na harmonise
mara kiba na mond
mara zari na wema
mara mwanasheria wa chama ma mwanasheria wa serekali
mara lowassa na magufuli
mara tundu lisu na lowasaa
kwakweli hv vyombo vyetu vya habari upuuzi mtupo ukija kwenye upande wa redio ndo kabisaa unaweza kuzimia kunamaneno ya ajabu kwenye matangazo yao utasikia
mara fiesta
mara imooooooo huu msemo sjui unamaana gani
mara tunasepa na kijiji
DAH TZ BUANA sitaki puvu kama huja elewa pita kushoto
hizo battle za kuaibisha watu hata mi kweli zinanikera sana, na ni moja ya sababu zilizofanya nikai unlike hiyo channel na ku unfollow kwenye social networks ili nisione upuuzi waonikweli aisee hawa jamaa itakuwa wajaa wanatafuta kiki kwa mabosi zao waonekate wanafanya kazi