ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,120
- 5,352
Huwa najuiliza hivi ni kweli zile takwimu zao ni maoni ya wachangiaji..!! si kwamba ni takwimu mbaya, la, bali huwa nahisi hakuna watu wanaofuatilia kipima joto cha kila siku na kujibu zile NDIO, HAPANA au SIJUI.
Binafsi sijawahi hata kufikiria kujibu, huwa nasikiliza tu halafu ndio imepita hivyo.
Binafsi sijawahi hata kufikiria kujibu, huwa nasikiliza tu halafu ndio imepita hivyo.