jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Binafsi demu wa mwisho kumtongoza ana kwa ana [jicho kwa jicho] nilimtongoza 2007
Ila mpaka sasa natongozea vidole kwa msaada wa simu
wewe bado unaendelea kutongoza/kutongozwa ana kwa ana?
Ila mpaka sasa natongozea vidole kwa msaada wa simu
wewe bado unaendelea kutongoza/kutongozwa ana kwa ana?