Wangapi wanaendelea kutongozana ana kwa ana?

Inategemea na mzingira mlipokutana, ila dem kama yupo pembeni si unaomba gem fasta
 
utandawazi huu dunia imekuwa kama kijiji,enzi za zamani mpaka mkutane kanisani,kisimani,sokoni,stendi,shuleni,vyuoni,kazini,njiani,bar,hotelini,mikutanoni nk lakini kwasasa mawasiliano yameweza kufanya watu wakawa socialize kupitia Simu,Internet,Fax
 
Ana kwa ana mpango mzima, simu situmii kufanya hvyo, labda appointment tu, mtongozo ni face to face
 
utandawazi huu dunia imekuwa kama kijiji,enzi za zamani mpaka mkutane kanisani,kisimani,sokoni,stendi,shuleni,vyuoni,kazini,njiani,bar,hotelini,mikutanoni nk lakini kwasasa mawasiliano yameweza kufanya watu wakawa socialize kupitia Simu,Internet,Fax
Noma sana hasa ya kisimani unamtega barabara kuu
 
Back
Top Bottom