jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
vidole???Binafsi demu wa mwisho kumtongoza ana kwa ana [jicho kwa jicho] nilimtongoza 2007
Ila mpaka sasa natongozea vidole na msaada wa simu
wewe bado unaendelea kutongoza/kutongozwa ana kwa ana?
Hii nimeitumia kwa mara ya mwisho 2006 aiseeBado natumia barua asee
Aisee pongez kwakoBado natumia barua asee
Nazungumzia kutongozana mkubwa!Inategemea na mzingira mlipokutana, ila dem kama yupo pembeni si unaomba gem fasta
HahahaHii nimeitumia kwa mara ya mwisho 2006 aisee
Hujaelewa mkuu,?vidole???
EeehAisee pongez kwako
Mimi sikumbuki lini nilitumia kwa mara ya mwishoHahaha
Hii njia nzuri sana mkuu
Ebu siku ifufue
Itabidi siku niandike barua niitumeEeeh
Ahsante mkuu
I modernize na wewe uitumie bhana
[emoji1] nitaifufua siku moja mkuuHahaha
Hii njia nzuri sana mkuu
Ebu siku ifufue
Nying sana hyo unafunga kamba laki moja tu unambuluza hadi ghettoMpe 5mil haf unaondoka atakufata had ghetto.
Noma sana hasa ya kisimani unamtega barabara kuuutandawazi huu dunia imekuwa kama kijiji,enzi za zamani mpaka mkutane kanisani,kisimani,sokoni,stendi,shuleni,vyuoni,kazini,njiani,bar,hotelini,mikutanoni nk lakini kwasasa mawasiliano yameweza kufanya watu wakawa socialize kupitia Simu,Internet,Fax
Unakutana nae chachi nin?Ana kwa ana mpango mzima, simu situmii kufanya hvyo, labda appointment tu, mtongozo ni face to face