jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
- Thread starter
-
- #41
Inabidi uangalie na nani unaemtongoza kama ni demu wa rafik au wa ndugu yako utaanzaje kumtongoza kwa sms[emoji23] [emoji23] Pana Ukweli hapa!!
Tena kama mambo yameenda kombo ushahidi nje nje....
Haya mambo lazima uwe smart na kuzingatia Privacy
[emoji3][emoji736] upo ryt aiseeeHakunaga siku hizi ukiona nimekuita sehemu basi nishamaliza kwa sms
true dat
Mmoja kati ya 100 type yako
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Endelea kutongoza kwa txt ila siku atakapo-screenshot pumba zako asambaze kwa watu unaowaheshimu ndo utaelewa kuwa wanawake si watu wa mchezomchezo..
30 ni kwa siku moja au mbiliSasa unatongozaje mtu kashatongozwa mara 30? We sema Hey can I be your Lover? Subir majibu
Kwa week30 ni kwa siku moja au mbili
Haha umetishaHuo ni udomo zege wa kiwango cha lami tena wewe utakuwa mlenda wa Dar..
Uso kwa Uso 0° distance unamuonyesha ujasiri kuwa wewe ni kidume..
Kwa upande wangu nataka jipu siku hiyi hiyo na mda huo huo sio mambo ya sec,chuo eti ngoja nikufikirie..akinikubalia nampakata nampiga mate hapo hapo after 24hrs naomba mgegedo(sijatumia hata 100Tsh hapo koo ndio limekauka ndio maana akinikubalia nampga mate)
HahahaBinafsi demu wa mwisho kumtongoza ana kwa ana [jicho kwa jicho] nilimtongoza 2007
Ila mpaka sasa natongozea vidole kwa msaada wa simu
wewe bado unaendelea kutongoza/kutongozwa ana kwa ana?
Kirahisi tu!Mpe 5mil haf unaondoka atakufata had ghetto.
😘💋Siku hizi ni kutongoza kwa Emoji tu
Mi mara nyingi natumiaga simuBinafsi demu wa mwisho kumtongoza ana kwa ana [jicho kwa jicho] nilimtongoza 2007
Ila mpaka sasa natongozea vidole kwa msaada wa simu
wewe bado unaendelea kutongoza/kutongozwa ana kwa ana?