Wangapi wanaendelea kutongozana ana kwa ana?

Wangapi wanaendelea kutongozana ana kwa ana?

[emoji23] [emoji23] Pana Ukweli hapa!!
Tena kama mambo yameenda kombo ushahidi nje nje....
Haya mambo lazima uwe smart na kuzingatia Privacy
Inabidi uangalie na nani unaemtongoza kama ni demu wa rafik au wa ndugu yako utaanzaje kumtongoza kwa sms
 
Ndio nyie mnaadikia wasichana mineno mizito mizito katika msg. bidada anakwabia nitakucheki kesho live nikusikilize leo nimebanwa kidogo.
Mkionana macho kwa macho nyie mnaotongozea vidole unaanza kuhangaika tu utaona mtu anaishia kusema sasa...!? Sasa...?
!!!?. Yani atahema kijana haina tofauti na samaki aliyevuliwa akatupwa nchi kavu akiwa mzima..... Hivi yale maneno ya kwenye msg mnayatoa google!!!?
 
Mm natongoza kwa mapene.
Nakupa laki 1.
Siku nikikupa laki 3, ujue naenda kukuchambua kama Karanga. ( tendo la ndoa )
 
Mimi siku hizi sitongozi. tunaenda kulana tu .
 
Huo ni udomo zege wa kiwango cha lami tena wewe utakuwa mlenda wa Dar..
Uso kwa Uso 0° distance unamuonyesha ujasiri kuwa wewe ni kidume..
Kwa upande wangu nataka jipu siku hiyi hiyo na mda huo huo sio mambo ya sec,chuo eti ngoja nikufikirie..akinikubalia nampakata nampiga mate hapo hapo after 24hrs naomba mgegedo(sijatumia hata 100Tsh hapo koo ndio limekauka ndio maana akinikubalia nampga mate)
 
Haha umetisha
 
Face t face n ngumu kuna midemu inakukazia macho mpka manenek yanakataaa hahaahahhaha hapo lazima uombe number ukimbieeee
 
saivi hatutongoz kihiiivyo. kuna mdada mnakutana mnapiga stori mbili tatu kisha mnahamia kitandan kupiga mashuti siku iyoiyo. wengine mnapeana viofa 2-3 kisha mnahamia kitandan. simple.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi demu wa mwisho kumtongoza ana kwa ana [jicho kwa jicho] nilimtongoza 2007

Ila mpaka sasa natongozea vidole kwa msaada wa simu

wewe bado unaendelea kutongoza/kutongozwa ana kwa ana?
Hahaha
 
Binafsi demu wa mwisho kumtongoza ana kwa ana [jicho kwa jicho] nilimtongoza 2007

Ila mpaka sasa natongozea vidole kwa msaada wa simu

wewe bado unaendelea kutongoza/kutongozwa ana kwa ana?
Mi mara nyingi natumiaga simu
 
Back
Top Bottom