Wangapi wanafanya hivi?

Wangapi wanafanya hivi?

dah! Babu na Bibi yangu(rip) walikuwa na vitanda viwili. Sijui waliamua kulala tofauti uzeeni au walikuwa wanalala hivyo toka ujanani loh!

Ila sikuwah kuwaza hivi!
 
lizzy usichanganye mada watoto tunawafundisha siku izi sawa mapema! Sasa ndo wajue mnasex mnalala pamoja?

Hiyo mnayoongelea kulala pamoja ni mke na mume au kulala na mtoto. . Guys msichanganye mambo hapa halafu if you are talking kulala tofauti mumevna mke hiyo ni mada nyingine tena yani mume na mke manalala tofauti! I heard of these issue aisee mi lazima nilale nimepakatwa. . Nini maana ya ndoa sasa. .Lol

Mkuu samahani kidogo. Hebu tujalie jinsia yako kuondoa utusitusi maana hapo kwenye red, kiswahili kinakua ndugu. Hahaaa, joking!
 
kandekavu ni female, nikufafanulie napenda kulala mikono ya husb imezunguka mwili mzima hahahaaaa. .
 
Walikuwa wanalala vitanda tofauti kwa sababu vitanda vilikuwaga ni vidogo kutoshea watu wawili kulala comfortable.
Sasa kwa sasa ivi chumba kimoja ukiweka vitanda 2 va 6kwa6, si utaitaji bedroom ya futi 20?
 
Inawezakana udogo wa vitanda? Lakini walikuwa na uwezo wa kutengeza vikubwa? Si wote walikuwa wanaishi vyumba vidogo. . Na vilikuwa kimoja kikubwa kimoja kidogo! Halafu lakini mkilala tofauti kuna uzuri wake wa kusubiri who will leave his bed ama?
 
Kongosho kulala tofauti yes tunafanya hivo but mi wanangu wamekuwa saiv wana 5 na 8 mdogo mdadisi sana na mkubwa she is a silent observer! Huu udadisi wanaupata ktk age hizi saiv si wanaingia chumbani?

Ukiacha wakiwa wadogo! Huko kwenye udogo Mungu alifanya jambo jingine tofauti! Hakuna mtu anakumbuka kitu at that age so memory zotevzinakuwa deleted! But hii iam telling you wanakuwa nayo! Kama mama wa vibinti vyangu hivyo nafikiria nifanye sasa kama sijachelewa? Pengine mpka hapa bado hawatakumbuka kitu!
Hahaaaa sasa umeshachelewa. Ukianza kuweka kitanda cha pili wanao watajua kuwa mmeshaanza kugombana na sasa mmeamua kila mtu alale kitanda chake. Utawafanya wajiulize maswali mengi zaidi ya yale uliyotarajia
 
Ila mimi nadhani hicho kitanda cha pili kilikuwa kinatumika zaidi wakati wa kulea. Kumbuka vitanda wakati huo vilikuwa vidogo (pengine ni cha kamba). Hivyo haikuwa rahisi kulala kitanda kimoja wote wawili pamoja na mtoto, mnaweza kumlalia na pengine kumnyima pumzi. Pia wakati ule walitumia njia za asili za uzazi wa mpango (natural family planning). Kwahiyo ili kuondoa tamaa ya kujamihiana mapema (kabla mtoto hajakuwa) njiai rahisi ilikuwa kwa baba kuwa na kitanda chake au kuoa mke wa pili. Vinginevyo mama atabeba mimba kabla mtoto hajafika miezi sita.
 
kandekavu ni female, nikufafanulie napenda kulala mikono ya husb imezunguka mwili mzima hahahaaaa. .

Hapo penye red unaweza ukapotosha watu. kande kavu ni mlume.Hata hivyo nimekupata, ulimaanisha wewe ni she.Haya mama ndo mambo ya ndoa hayo. Usipotaka kupakatwa watapakatwa wengine.
 
Bado sijaona umuhimu wa kuwa na vitanda viwili chumbani..
Hichi kimoja kinaleta giza..
 
Nimegundua wazee wetu walikuwa na akili sana cjui wangapi wameobserve hili! Chumbani kwa wazazi wangu kulikuwa na vitanda viwili cha baba na mama sikuwai kuwaza wanalala pamoja mpaka nimekuwa mkubwa!

Nimegundua sisi saiv tuna kitanda kimoja kikubwa chumbani hii itakuwa inawaletea mawazo sana watoto nimesikitika lakini its too late watakuwa wanawaza mengi na hiki kizazi cha saiv! Cjui wenzangu makuzi yenu na sasa kwenye ndoa zenu kweli wazee wetu walikuwa na akili sana!

Twande umenikumbusha mbali sana, ni kweli kabisa zamani wazazi wetu walitumia busara hii kutuzuga, na mwisho tulilelewa, tukakua bila kuwa na impurities za uzinzi! Siku hizi, wazazi wabusiana wazi wazi mbele ya watoto, unafikiri tunawafundisha nini?

Nasikitika kwamba its too late ..., I wish kama huu utaratibu ungeendelezwa!
 
Horsepower umeona ee hiyo ndo tafrani. . Sometime wanajua hata mmeoga pamoja duh! Anyway sasaivi ukikwepa huku utalipata huku. . Hizi movie za bongo za kiswahili nazo! Lazima waingize kulambanalambana jamani! Hata watoto wakiwa wanaangalia cartoons zaidi hawa wadada wa kazi wanapenda hizo movie balaa watoto wanajikuta wanaangalia vitu vya ajabu kabla ya wakati wao!

Nashangaa wanaoleta habari ya kudanganywa hapa sio hivo tatizo hivi vitu the more unavijua the more you want to practise them hapo kabla watu tumejua late basi ukijitunzatunza kidogo kusuhiri uwe mkubwa muda unasogea
 
Kulala pamoja kwanza kiafya is not recommended.

Kwa hiyo ulimuoa ili?
Na mnatengana vitanda kuwaonyesha watoto kuwa hamlali pamoja au kwa sbb za kiafya
?
Km vp mlale vyumba tofauti kabisa.

Kinyume na hapo ni viinimacho, ndoa maana yake tumekuwa mwili mmoja. Najaribu kufikiria nikiwa na hamu ya nani hiii hadi nianze kuita baba flani njoo basi, au nahama kimya kimya au kunakuwa na makubaliano siku za kulala pamoja? Au kitanda cha pili kinakuwa danganya toto, usiku kinatumika kimoja?
 
Mi nikioa natengeneza kitanda cha futi 3 maalum kwa kutafutia watoto,hatakua na ujanja wa kunikimbia,kila akigeuka ninae,mpaka kinaeleweka!...Lol!
 
Back
Top Bottom