BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
lizzy usichanganye mada watoto tunawafundisha siku izi sawa mapema! Sasa ndo wajue mnasex mnalala pamoja?
Hiyo mnayoongelea kulala pamoja ni mke na mume au kulala na mtoto. . Guys msichanganye mambo hapa halafu if you are talking kulala tofauti mumevna mke hiyo ni mada nyingine tena yani mume na mke manalala tofauti! I heard of these issue aisee mi lazima nilale nimepakatwa. . Nini maana ya ndoa sasa. .Lol
Ishh. .
Hahaaaa sasa umeshachelewa. Ukianza kuweka kitanda cha pili wanao watajua kuwa mmeshaanza kugombana na sasa mmeamua kila mtu alale kitanda chake. Utawafanya wajiulize maswali mengi zaidi ya yale uliyotarajiaKongosho kulala tofauti yes tunafanya hivo but mi wanangu wamekuwa saiv wana 5 na 8 mdogo mdadisi sana na mkubwa she is a silent observer! Huu udadisi wanaupata ktk age hizi saiv si wanaingia chumbani?
Ukiacha wakiwa wadogo! Huko kwenye udogo Mungu alifanya jambo jingine tofauti! Hakuna mtu anakumbuka kitu at that age so memory zotevzinakuwa deleted! But hii iam telling you wanakuwa nayo! Kama mama wa vibinti vyangu hivyo nafikiria nifanye sasa kama sijachelewa? Pengine mpka hapa bado hawatakumbuka kitu!
kandekavu ni female, nikufafanulie napenda kulala mikono ya husb imezunguka mwili mzima hahahaaaa. .
Nimegundua wazee wetu walikuwa na akili sana cjui wangapi wameobserve hili! Chumbani kwa wazazi wangu kulikuwa na vitanda viwili cha baba na mama sikuwai kuwaza wanalala pamoja mpaka nimekuwa mkubwa!
Nimegundua sisi saiv tuna kitanda kimoja kikubwa chumbani hii itakuwa inawaletea mawazo sana watoto nimesikitika lakini its too late watakuwa wanawaza mengi na hiki kizazi cha saiv! Cjui wenzangu makuzi yenu na sasa kwenye ndoa zenu kweli wazee wetu walikuwa na akili sana!
Wangapi wamekufa kwa kulala pamoja?
​BANKO mneso hadi asubuhi.ebu nisaidie wapi vitanda vya chuma vinapatikana.
Teh teh teh... afu wewe!
Kulala pamoja kwanza kiafya is not recommended.