kwani ukitoa tigo unakufa? wewe mbona hutoagi?
Ngoja niongeze kitanda.
Kwa hiyo ulimuoa ili?
Na mnatengana vitanda kuwaonyesha watoto kuwa hamlali pamoja au kwa sbb za kiafya
?
Km vp mlale vyumba tofauti kabisa.
Kinyume na hapo ni viinimacho, ndoa maana yake tumekuwa mwili mmoja. Najaribu kufikiria nikiwa na hamu ya nani hiii hadi nianze kuita baba flani njoo basi, au nahama kimya kimya au kunakuwa na makubaliano siku za kulala pamoja? Au kitanda cha pili kinakuwa danganya toto, usiku kinatumika kimoja?